
Compară ofertele (1)
Prețurile sunt preluate automat din feed-urile magazinelor și pot diferi față de site-ul magazinului. Verifică prețul final la magazin.
Descriere Tutarudi na Roho Zetu? - Ben R. Mtobwa
\nNchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake.\n \nInspekta Kombora nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini mashujaa wengi lakini anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo la kusikitisha ni kwamba sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye anatembea kutoka jiji hadi jiji akiwa na yule msichana mzuri Nuru. Juhudi za Kombora kumsihi hazifui dafu. Badala yake Joram anafanya maajabu mengine ambayo yanalichafua jina lake hapa nchini na kote duniani. Wakati huo siku ambayo utawala huo umeweka ili kuachia pigo lao la mwisho inazidi kukaribia. Sasa yamesalia masaa...\n
Detalii
- Brand
- East African Educational Publishers
- Categorie
- ENSTK
- EAN / GTIN
- 9789966469410
- Magazine
- 1
- Disponibilitate
- in stock
Produse similare

East African Educational Publishers
Song of Lawino and Song of Ocol - Okot P'bitek
154,67 RON
libris.ro

East African Educational Publishers
Rwmbo rwa Njk - Ngugi Wa Thiong'o
154,67 RON
libris.ro

East African Educational Publishers
The Promised Land - Grace Ogot
154,67 RON
libris.ro

East African Educational Publishers
The Other Woman - Grace Ogot
154,67 RON
libris.ro

East African Educational Publishers
Land Without Thunder and other stories - Grace Ogot
163,30 RON
libris.ro

East African Educational Publishers
Facing Mount Kenya. The Traditional Life of the Gikuyu - Jomo Kenyatta
386,73 RON
libris.ro

Pegasus Crime
Dodging and Burning - John Copenhaver
146,12 RON
libris.ro

Pegasus Books
The Court Dancer - Kyung-sook Shin
146,12 RON
libris.ro
